Ripoti
Mkutano wa kuwakurubisha pamoja Waislamu mjini London 20 October 2010, 13.26 Baraza گزارش
Mkutano wa kuwakurubisha pamoja Waislamu mjini London
Katika kikao cha hivi karibuni cha London, washiriki walisisitiza udharura wa kuzingatiwa umoja wa Waislamu na kulichunguza suala hilo katika pande zote.
315 Hits 0 Ratings
Taarifa ya mwisho ya kikao cha kukurubisha pamoja madhehebu ya Kiislamu
Kikao cha nne cha kimataifa cha kukurubisha pamoja madhebeu ya Kislamu kilimalizika siku ya Jumapili huko London mji mkuu wa Uingereza kwa kutolewa taarifa ya mwisho.
425 Hits 0 Ratings
Jumuiya ya Mudarriseen ya Qum yatoa taarifa kuhusu mafuriko ya Pakistan
Jumuiaya ya Madarriseen ya mji mtakatifu wa Qum imetoa taarifa ya mkono wa pole kwa serikali na watu wa Pakistan kufuatia mafuriko makubwa yaliyotokea nchini humo hivi karibuni na kusababisha maafa na hasara kubwa.
568 Hits 0 Ratings

Wazayuni wakiri: Uislamu utakuwa dini ya kwanza barani Ulaya hadi mwishoni mwa karne hii

Gazeti la Kizayuni la Yedioth Ahronoth limechapisha makala likikiri kwamba Uislamu unaenea kwa kasi kubwa barani Ulaya na kusema: "Hadi kufikia mwishoni mwa karne hii Uislamu utakuwa dini ya kwanza barani humo."

Last Updated (Thursday, 29 December 2011 09:21)

Read more...

 

Ayatullah Khamenei: Wamagharibi wanaogopa kusikia hata jina la Uislamu

Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Uislamu unapambana na misingi ya ubeberu yaani dhulma, vitendo vya kibabe na uvamizi dhidi ya mataifa mengine.

Last Updated (Thursday, 29 December 2011 09:05)

Read more...

 

Miaka 23 imepita tangu kuzama nyota ya kiraa ya Qur'ani

Ustadh Abdul Basit alipewa lakabu ya 'Koo ya Dhahabu' kutokana na kiraa yake ya kuvutia na alipendwa mno na wafuatiliaji wa masuala ya Qur'ani kwa kadiri kwamba hadi sasa anatambuliwa kuwa karii mashuhuri na anayepesndwa zaidi wa Qur'ani.

Last Updated (Wednesday, 30 November 2011 16:52)

Read more...

 

Sikukuu ya Ghadir

Ghadir ni siku ambayo Bwana Mtume Muhammad SAW aliwakusanya pamoja maelfu ya Waislamu ambapo baadhi ya wanahistoria wanasema kuwa walifika Waislamu laki moja na 20 elfu ambao walikuwa wanarejea makwao kutoka katika amali tukufu ya Hija.

Last Updated (Wednesday, 30 November 2011 17:26)

Read more...

 

Risala na Ujumbe wa Ghadir Khum

Katika siku ya tarehe 18 Dhilhija mwaka 10 Hijria na baada ya kukamilisha hija yake ya mwisho Mtume Muhammad (saw) alifunga safari ya kurejea mjini Madina akifuatana na idadi kubwa ya masahaba zake. Alipofika eneo linalojulikana kwa jina la Ghadir Khum alisimama na kuamuru Waislamu wote wakusanyike hapo.

Read more...

 

Ujumbe wa Ayatullah Khemenei kwa mahujaji wa Nyumba ya Mwenyezi Mungu

 

Ayatullah Khamenei: "Umma wa Kiislamu hususan mataifa yaliyoanzisha mapambano yanahitajia mambo mawili kwa ajili ya kudumisha njia hiyo nayo ni 'kuendelea kusimama kidete' na 'kuwa macho mbele ya hila za madola ya kibeberu ya kimataifa'.

Read more...

 

Siri na maarifa ya Hija katika mtazamo wa Imam Ali (as)

 

Mahujaji ambao wanatekeleza ibada ya Hija kwa ujudi wao wote huhisi athari ya kimaanawi na kiroho katika nyoyo zao mpaka mwishoni mwa umri wao. Pengine ni kutokana na sababu hiyo ndiyo maana ibada ya Hija ikawajibishwa kwa Waislamu mara moja tu katika kipindi cha umri wa mwanadamu.

Read more...

 

Utawala na uongozi katika fikra za kisiasa za Imam Baqir (as)

Tarehe 7 Dhulhija inasadifiana na siku aliyouawa shahidi Imam Muhammad Baqir (as), mmoja wa Watu wa Nyumba ya Bwana wetu Muhammad (saw) ambaye katika siku kama hizi za Hija umati mkubwa wa Waislamu ulikuwa ukikusanyika kandokando yake na kufaidika na bahari yake kubwa ya elimu na maarifa.

Read more...

 
Habari
Mkutano wa Taqrib kufanyika Makka 02 October 2011, 08.17 Baraza Habari za Taasisi
Mkutano wa Taqrib kufanyika Makka
Ayatullah Taskhiri: Moja ya sifa za mwamko wa Kiislamu ni kufanya juhudi za kuimarisha umoja na mshikamano wa
78 Hits 0 Ratings
Mkutano wa Majmaa wamaliza shughuli zake Tehran 16 September 2011, 06.27 Baraza Habari za Taasisi
Mkutano wa Majmaa wamaliza shughuli zake Tehran
Mkutano wa tano wa kimataifa wa Jumuiya ya Kimataifa ya Ahlul Bait ulimaliza shughuli zake Jumatano ya wiki hii mjini Tehran.
60 Hits 0 Ratings
Mkutano wa kimataifa wa kukurubisha pamoja Waislamu wafanyika Pakistan
Tas’khiri: Umoja wa Waislamu utawavunja moyo maadui na kuimarisha amani na utulivu katika jamii za wafuasi wa dini hiyo ya Mwenyezi
150 Hits 0 Ratings
Ayatullah Amoli: Adhabu ya kuchoma Qur'ani itawakumba watawala wa Saudia
Ayatullah Jawadi Amoli: Hatima mbaya ya Hosni Mubarak na Bin Ali ni ibra na funzo kwa watawala wa Saudi Arabia na
209 Hits 0 Ratings
Taarifa ya wanazuoni wa al-Azhar kuhusu kukosewa heshima Mtume Mtukufu (saw)
Jumuiya ya Maulama wa al-Azhar imetoa taarifa ikitangaza kwamba dharau iliyofanywa na Muhammad Ridha Muharram, mhadhiri katika Chuo cha Uhandisi cha al-Azhar, dhidi ya Mtume Muhammad (saw) ilifanyika kwa uungaji mkono wa
215 Hits 0 Ratings